Iqraam chimaguly
New Member
- Nov 30, 2018
- 2
- 1
Kwa wenye kujua machimbo ya vifungashio vya popcorn na korosho tujuzane jaman
Mi ninavyo vifungashioKwa wenye kujua machimbo ya vifungashio vya popcorn na korosho tujuzane jaman
Mi niko kariakoo China plazaUko wapi bossView attachment 960979
Vifungashio vya korosho na bisi vinauzwa kariakoo pale sokoni vipo kuanzia 200 hadi 500 kulingana na ukubwaKwa wenye kujua machimbo ya vifungashio vya popcorn na korosho tujuzane jaman
0672493810Namba yako please tuwasiliane