MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 623
Wapi ntapata Vifaa vya maabara kwa bei nafuu kwa Dar?
Wakuu ni wapi naweza kupata chemicals za maabara ya Secondary physics na Chemistry kwa bei nzuri hasa maduka ya wahindi hapa Dar?
Shule ipo Kibaha Mkoa wa Pwani.
Kwa mawasiliano 0759 146483.
Au ni pm
Wakuu ni wapi naweza kupata chemicals za maabara ya Secondary physics na Chemistry kwa bei nzuri hasa maduka ya wahindi hapa Dar?
Shule ipo Kibaha Mkoa wa Pwani.
Kwa mawasiliano 0759 146483.
Au ni pm