Nahitaji vifaa vya kupimia udongo kwa ajili ya kilimo

Vifaa vya kupimia vipo vingi sana mkuu katika parameters tofauti tofauti. Lazima ujue ni nini haswaa unataka kupima, mfano alikalinity or acidic kama pH. Hebu funguka mkuu nikusaidie.
 
na mm naomba unisaidie kwani nataka nianze kupima udongo wa ruvu kwa kilimo
 
mkuu kuna post iliwekwa humu ina offer ya hivyo vifaa vya kupima ph, moisture etc unfortunate kwa sasa siion
 
Una
[QUguying m "ladyfurahia, post: 17361050, member: 43586"]na mm naomba unisaidie kwani nataka nianze kupima udongo wa ruvu kwa kilimo[/QUOTE]
f
na mm naomba unisaidie kwani nataka nianze kupima udongo wa ruvu kwa kilimo
Masatu huyo
Vifaa vya kupimia vipo vingi sana mkuu katika parameters tofauti tofauti. Lazima ujue ni nini haswaa unataka kupima, mfano alikalinity or acidic kama pH. Hebu funguka mkuu nikusaidie.
Ukiona Mtu anaingia bar anasema naomba bia ujue huyo Si mnywaji wenyewe wanasema NaombA safari au Serengeti baridi. Umenisoma?
 
na mm naomba unisaidie kwani nataka nianze kupima udongo wa ruvu kwa kilimo
Tunauza
1. Rapitest digital soil test kit. bei 250,000
2. 4 in 1 soil survey instrunment. Tuna sale malum kwa sasa na bei ni ya punguzo Tsh 85,0000
VYOTE 1 & 2 vipo Dukani Dsm Magomeni.

3.Kelway Ph and moisture meter: kutoka marekani ni 480,000 na kutoka china ni 280,000(Hivi tunaleta kwa oda tu)

Pia tunapokea oda ya uagizaji wa bidhaa yoyote kutoka China.
WhatsApp +8613125094947
 
mkuu kuna post iliwekwa humu ina offer ya hivyo vifaa vya kupima ph, moisture etc unfortunate kwa sasa siion
Tunauza
1. Rapitest digital soil test kit. bei 250,000
2. 4 in 1 soil survey instrunment. Tuna sale malum kwa sasa na bei ni ya punguzo Tsh 85,0000
VYOTE 1 & 2 vipo Dukani Dsm Magomeni.

3.Kelway Ph and moisture meter: kutoka marekani ni 480,000 na kutoka china ni 280,000(Hivi tunaleta kwa oda tu)

Pia tunapokea oda ya uagizaji wa bidhaa yoyote kutoka China.
WhatsApp +8613125094947
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom