Steven Sambali
JF-Expert Member
- Jul 31, 2008
- 364
- 184
Kwa wanachama wote na wasio wanachama wa JF kwa ujumla yaani wale ambao bado hawajajiunga ila wanasoma JF, nina ombi moja fupi sana kwa wote.
Jumamosi hapa Warsaw, nitakuwa nina kipindi cha saa moja nzima kuelezea kuhusu Tanzania. Uwanja ninao mpana na nitaweza kuelezea chochote ninachotaka. Nimepanga kuelezea mila na tamaduni za Tanzania. Nitaonyesha picha za vijijini na za mijini ili kuwapa watu hali halisi ya Tanzania. Ila ningelipenda pia kuwaonyesha nini kinaendelea kwenye vitu kama sherehe, harusi, misiba nk.
Kwa maana hii ningelipenda kama kuna mtu mwenye picha nzuri za Tanzania kwenye miji tofauti basi anitumie kwani kutakuwa na Projector na hivyo kuweza kuonyesha. Pia kama kuna mtu ana video basi pia aniwekee kwenye sehemu kama Rapidshare au Mediafire. Nafikiri huko unaweza kuweka hadi 100Mbts. Kwa film fupifupi itatosha kabisa kuenea. Please, don't send me Youtube video, since they have very low quality.
Ningelipenda video za ngoma za utamaduni, Ma-disco mashuhuri, picha nzuri za mahoteli yetu, bahari, ndege na mengine mengi. Pia kama kuna mtu ana maoni ama mapendekezo yoyote basi ninayakaribisha na nitayafanyia kazi.
Kama kuna mtu ana picha au hizo video, basi anitumie kwa kupitia email yangu ya:
sambali@afryka.org
using google earth utapata picha nyingi sana kwa miji tofauti ya TZ
SSAMBALI!Kwa wanachama wote na wasio wanachama wa JF kwa ujumla yaani wale ambao bado hawajajiunga ila wanasoma JF, nina ombi moja fupi sana kwa wote.
Jumamosi hapa Warsaw, nitakuwa nina kipindi cha saa moja nzima kuelezea kuhusu Tanzania. Uwanja ninao mpana na nitaweza kuelezea chochote ninachotaka. Nimepanga kuelezea mila na tamaduni za Tanzania. Nitaonyesha picha za vijijini na za mijini ili kuwapa watu hali halisi ya Tanzania. Ila ningelipenda pia kuwaonyesha nini kinaendelea kwenye vitu kama sherehe, harusi, misiba nk.
Kwa maana hii ningelipenda kama kuna mtu mwenye picha nzuri za Tanzania kwenye miji tofauti basi anitumie kwani kutakuwa na Projector na hivyo kuweza kuonyesha. Pia kama kuna mtu ana video basi pia aniwekee kwenye sehemu kama Rapidshare au Mediafire. Nafikiri huko unaweza kuweka hadi 100Mbts. Kwa film fupifupi itatosha kabisa kuenea. Please, don't send me Youtube video, since they have very low quality.
Ningelipenda video za ngoma za utamaduni, Ma-disco mashuhuri, picha nzuri za mahoteli yetu, bahari, ndege na mengine mengi. Pia kama kuna mtu ana maoni ama mapendekezo yoyote basi ninayakaribisha na nitayafanyia kazi.
Kama kuna mtu ana picha au hizo video, basi anitumie kwa kupitia email yangu hapo chini. Asanteni.
sambali@afryka.org
SSAMBALI!
Unafanya nini huko? Unless unasomea mambo ya anthropolgy, au kitu kingine kinachofanana na hicho,...otherwise vitu unavyotaka kuvionyesha kwenye presentation ambayo watu wame-honour mda wao kukusikiliza, haviendani na hadhi ya kipindi ulichopewa. Ulitakiwa uwaonyeshe sehemu zinaziohusiana na utalii zaidi km vile mbuga za wanyama, milima na mabonde, history of germs and precious stones zilizopo kwenye nchi yetu ,... n.k na vitu vingine kama hivyo. Unavyotaka kuwaonyesha wewe unaweza ukafanya hivyo hata kwenye laptop yako mkiwa bar au library mnajisomea inatosha,,,. Samahani kama nitakuwa nimekukera, ila huwa napenda sana kuongea kilicho rohoni kwangu!