Habari Wakuu,
Nimatumaini yangu Wote wazima na Mnaendelea na Shughuli zenu za Kila Siku
Kama Kichwa cha uzi huu kinavyojieleza nahitaji Video Editor App Androids na pia kama Zipo kwa Matumizi ya PC naomba pia Majina au link .... Hata za Kulipia naomba Jina au link .
Natanguliza shukrani