malackmramba
Member
- Sep 20, 2014
- 8
- 4
Njoo nikuunganishe moja kwa moja na wakulima, kwa ada[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Naomba kufahamishwa juu ya upatikan wa zao hili na linapatikana sana mikoa gan kwa atakaye pata vanila bean nahitaj tuwasiliane kwa whatassp yangu 0685000606
Nimekupm sababu una airtelNo hiyo hapo imepostiwa
MarukuBukoba border na uganda wanalima,Kagera pia kuna Sehemu wanalima
Mara ya mwisho nlipitaga huko kg1 Ilikuwa $40 kwa sasa Sijui Hali ikoje mdauuu .....
Vanilla ni spices zenye demand sana
Ova
$40 kwa kilo hii ni bei ya mwaka gani?Bukoba border na uganda wanalima,Kagera pia kuna Sehemu wanalima
Mara ya mwisho nlipitaga huko kg1 Ilikuwa $40 kwa sasa Sijui Hali ikoje mdauuu .....
Vanilla ni spices zenye demand sana
Ova
Wadau waje watuelimisheFursa hii vipi morogoro tanga zao hili linastawi?
Hili zao naona ndio linaweza kuwakomboa watu. Nimeangalia bbcswahili bei yake kwa kilo moja dola 600...yaani ukiwa na.kilo mia moja una dola 6000. Hebu wataalam waje watoe somo kuhusu zao hili