Nahitaji ushauri

john issa

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
852
1,627
Nini madhara yakutofanya mapenzi kutoka uzaliwe hadi kuwa na umri wa kama miaka 24? Nisaidieni wajuvi wa mambo haya.
 
hufanyi kwasababu uwezi kufanya au nini sababu ya wewe kutofanya tujue hayo ndo tukushauri
Kwanza kabisa, naona ni ujinga wa hali juu sana kumdanganya Msichana, pili naona akili yangu itapungua nguvu na ushawishi wangu pia utapungua kwenye jamii yangu.
 
Hata ukifikisha 40 ni saikolojia yako tu ila utakuwa hauko sawa..
 
Kwanza kabisa, naona ni ujinga wa hali juu sana kumdanganya Msichana, pili naona akili yangu itapungua nguvu na ushawishi wangu pia utapungua kwenye jamii yangu.
Sababu zako nimezielewa unampango wa kuja kuoa badae?usinichoke na maswali yangu
 
Hongera sana kwa kujitunza! Endelea kutunza bikra yako utaifaidi sana ndoa yako.
 
Hakuna shida mkuu mm mwenyewe sikuwahi ku sex Nina age 22 ,napiga sala na mazoezi ya mwili
 
Back
Top Bottom