Huyo kwangu namwona mdogo na wala hajajua anataka nini hapa duniani.Msisitizie asome kwanza hayo mengine baadae mlipie hiyo kuresit ambayo ni kiasi kidogo,ila kwa upande mwingine nawashangaa hao wazazi waliokubali mchumba kwa mtoto mdogo hivyo kwa upande wangu nadhan nisingekubaliana na hilo