Nahitaji ushauri wenu wakuu


Ushauri Ni huu: go ahead, una chance, sahau hiyo test Na ondoa hofu! Maana Na hiyo hofu utaharibu zaidi, Tafuta Mda wako msii Mungu akusaidie!
 

Walimu wa Law wana misimamo na roho mbaya. S

Hongera wewe, hapa nimefanya test two na group assigment. Nangojea majibu!
 
Ushauri Ni huu: go ahead, una chance, sahau hiyo test Na ondoa hofu! Maana Na hiyo hofu utaharibu zaidi, Tafuta Mda wako msii Mungu akusaidie!

Ahsante mkuu. Test nimefanya nangojea majibu.
 
Si umpe hela, ngoja urudi huku uone kama utaeleweka
 
Dar umenikumbusha mbali sana, yaani kipindi icho ndio nimeingia 1st year chuo, test yangu ya kwanza ya Somo la CCC+ (programming language) nilipata 0/10% nilipigwa na butwaaaaaah, nilipata mpaka tumbo la kuhara, kila nikigeuka uku naskia watu sauti zinasema hapa Udsm-Coict watu wana disco sana nikajua nime kwisha ila cha kushangaza nilipata access ya kufanya UE na pia ilo somo siku sup mungu ni mkubwa sasaivi najishughulisha na uuzaji wa chakula cha mifugo ya kuku.
 
Huu Uzi Ni Kama mnataka kunirudisha Mimi Tena shule...na kwa hesabu zangu utakuwa upo Udsm..
 
Wakufunzi wana mambo ya ajabu sana.Sitasahau visa viwili katika maisha ya shule.

1.Test ikatangazwa watu tukasoma sanaaa,siku ya test ndani ya hall tukapewa mtihani watu wakaanza fanya kwa speed kuwahi muda.Kumbe bwana mwisho wa karatasi mkufunzi ameweka instruction ya "don't do any question, just read then after a time collect. Watu wamefanyaaaa,wachacheee tulisanukia mambo na ni vile tukitaka ona mtihani wote mdo tukaona hiyo.Maswali yalikiwa ya multiple choice so wengi walikaza A,D,C,B,etc.Ilikuwa ni kimbembeee,maana hakutaka ukisanye hata kama umejaza swali 1 tu.

Wachache tukakusanya baada ya muda wa test tukapata alama 10.

2.Ni mkufunzi kunikuta live band na group mate wangu bin,kumbe anamtakaga halafu dada kakataa.Weee usiombe hii kitu ikukute.Nili carry somo la yule jamaa aisee ktk mazingira ya uonevu kabisaaaa,sitasahau.

Pole,mfuate tena kwa unyenyekevu mwombe msamaha na kujishusha.

Acha tupike chips za jioni huku mtaani maana vyeti vipo sandukuni
 
Pole, anza kumsaidia kubeba briefcase yake kila asubuhi anavoingia kazini, lazima atakufikilia
 

Duuh, pole sana mkuu kwa hayo yaliyokukuta.

Kwa kweli, bora chuo kungekuwa na NECTA yake. Hii mifumo ya kutegemea mtu binafsi issue kama hizi hazikwepeki.
 
Pole, anza kumsaidia kubeba briefcase yake kila asubuhi anavoingia kazini, lazima atakufikilia

Ha ha ha, anakuja na gari lake afu hapendagi shobo unaweza kujichoresha balaa [emoji1787]
 
Daud G
 
Bilashaka ni first year wewe kupata zilo nikawaida iyo shida ni pale ukipata kale ka NIL ila zero ni number mzee mwalimu anakufikiria kabisa hapo usiwe na shaka mi nilipataga 0/15 business law na mwisho wa siku nilitoboa wala siku sup wala kucarry ingawa li karai langu nalipikia chipsi [emoji23]
 

Second year.

Yule sir sidhani, nyie kuna walimu ni nongwa.
 
Second year.

Yule sir sidhani, nyie kuna walimu ni nongwa.
Hata wakwangu alikuwa ivo ivo ila mwisho wa siku nikatoboa na wao ni wanadamu wanaelewaga sema tu mi janafunzi ndio haijiwlewi unamsaidia leo yeye kichwani anamuwaza asha na boom lake akamtoe out kidimbwi au 40.40 lachaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…