Pole Sana!
Bado una Nafasi kubwa Sana ya kufaulu..
Kwa Nguvu zote komaa na individual assignment na hiyo test Two inaweza kukutoa
#jiongeze, fanya vitu nje na masomo huku mtaani hatutaki GPA yako tunataka competence yako na uwajibikaji wako.
1.Tafuta kazi au biashara.
2 Fanya volunteer sehemu yoyote according to your Field of discore..
3.Kuwa tofauti na wenzako
5.Soma Sana.
Ilo swala tulipitia sana najua situation unayopitia wanaweza tokea comeback ya maana hapo mbele
Najua hali yako hata mm nilikuwa nayo usijali mi nakumbuka yalibaki group na pale teacher ana complicat mambo kinoma nashangaa group letu 8/10 test two 7/10 mzee bonge la come back
Sisi tulikatwa marks kwa vile mtihani ulikuwa umewai kumalizika sio kawaida maswali mengi kakata karibia column mbili chanzo wa kwanza kwenye column anataka kukusanya anasema bado hajamaliza akajua ni wote akakata Marks 3 sasa paper humaliza ukipata tatu una zero anatoa 3 ukipata zero una negative 3 anapunguza kule kwenye coz work ni mkoloni ila alipiga carry robo na wengin alikuwa piga sup kibao kweny UE
Umenifariji na kunipa tumaini.
8/10 + 7/10 = 15/20. Ulipita kuingia UE maana kwetu hapa kuingia mpaka 16.papalik
Jenga tabia ya kusoma maswali kwa uangalifu kisha fuata maelekezoHabari ndugu zangu JF!
Nipo katika wakati mgumu kuhusu shule.
Nimetoka kupokea matokeo ya test nimepata 0/15. Somo la East African Community law. Sio kwasababu sikuwa na majibu sahihi, Lah! Ni kwasababu nimejibu maswali mawili baadala ya moja kama yalivyokuwa maelekezo. Nikiri kwamba nili overlook instructions.
Binafsi nina mawazo sana wakuu wangu!
Sijawahi kupata “0” tangu nizaliwe.
Nimemfuata mwalimu husika personally na kumueleza tatizo langu. KAKATAA KATU!
Kinachonisumbua, kuingia UE ni kama ngamia kupita tundu la sindano.
Tuna group assignment (10 marks) na kuna test two ( hii bado hatujafanya ina marks 15).
Nishauri wakuu kwa hili.
Asante nawapenda wote!
Mkuu unasoma lawHabari ndugu zangu JF!

Nimekutumia message, pm tafadhali nijibu ukiupata ujumbe huuAisee, you played your cards right.