Mkuu Kurunzi,msikilize na kumheshimu Wakili wako. Kinachofuata hapo ni kutekeleza hukumu. Naamini shauri lenu liliwajumuisha wale wote waliouziwa na kujenga. Kimsingi,kila mwenye maslahi kwenye eneo husika alipaswa kuwemo kwenye shauri.
Shauri hilo hakijumuisha waliouziwa kwani alikuwa anauza wakati shauri lilikuwa linaendelea kesi ilianza tangu mwaka 2006 mpka sept 2014 ikipotolewa hukumu mshaka kuu tingo cha ardhi.
Mkuu Kurunzi,kulifanyika makosa. Mlipaswa kuweka zuio la muda la kutofanyika chochote katika eneo lililokuwa na mgogoro hadi pale ambapo shauri husika lingeisha. Napata kigugumizi kuona utekelezaji dhidi ya wale wasiohusishwa kwenye shauri.
Hatahivyo, waweza kuomba utekelezaji dhidi ya aliyekuwa mhusika.
Mkuu nilisha kesi nikarudi mahama ya mkoa kukazia hukumu ambapo nilipewa pia Broker ambaye alihakisha anabomoa nyumba zote zilizojegwa hapo.
Haukurogwa?Mkuu nilisha kesi nikarudi mahama ya mkoa kukazia hukumu ambapo nilipewa pia Broker ambaye alihakisha anabomoa nyumba zote zilizojegwa hapo.
Haikuwa kazi rahisi maana watu waliandana mpaka kwa mkuu wa wilaya lakini nashukuru mkuu wa wilaya alitaka hukumu ya mahakama ifuate mkondo wake
Haaaaa inawezekama maana sijui ukilogwa unajisikiaje au inakuwaje...maana si kwa kondoo na kuku zilizochinjiwa pale pa nyoka mkubwa huwa anaonekana pale lakini hayo mambo mimi hayanipi shida kabisaHaukurogwa?