Ni kweli ndugu ana sifa zote hizo ila sasa mimi tayar nina mtu mwingine na tuna mipango ya kuoana.
Kwa hali anayopitia ningeweza rudisha moyo nimuoe tu abaki hata wife home though deeply sijakubali full.lakin sasa nina mtu mwingine tayar
Ni kweli, lakin kumbuka kuwa aliyekupenda kabla ya hatua ya kimaisha uliofikia kwa sasa, ndiye mke wa kuoa, kuwa makini sana angalia mwanamke sahihi kati yake na uliye naye, kuanza process siyo kitanzi cha kukuingiza kwenye tanuru, usivutiwe na mwonekano fanya maamuzi sahihi.
Mwisho; wanawake tunaokutana nao kwenye mafanikio mara nyingi siyo wazuri sana wa kuoa!