Nahitaji ushauri kwa mabaharia wazoefu katika hii sekta

Ushaur wangu huo apo
20211011_151359.jpg
 
Hellow Jf.member

Nilikua na ukarb na binti m1 baada ya siku kadhaa nkarusha ndoano haikunasa, akadai yupo na mtu ambae wameshafikishana had kwa wazazi,nkamwambia a keep it na mungu awajalie mahusian yao yadumu, tkaw t na urafiki wa kawaida baad ya miezi kama miwili hv akantafta aktaka tuonane.

Nilikuw busy kdogo kwa ajili ya maandalz ya UE[ZIMA MOTO FC]ko sikuweza pata nafasi hadi tnamaliza mitihani ndo nkampa muda wa kuonana nami tlipanga tuonane nae mapema but ad sa2 manzi ananpanga yupo maeneo na nsjar tutaonana,sa3.ndo tkaktana nkatafta maeneo tliv tlienda lodge flan iv but skuchkua chumb si mtumiaj wa pombe hvyo nliagza juice..

Salamu za hapa na pale then akaanza kunpa matatizo alonayo kwny mahusiano yake huku akilia sana,doh nlimuonea huruma nliwaza tngelala hapo siku hyo ila nlighairi ktokana na hali alokua nao so nkaamua kmtlza na kumuacha aende kwake akapumzkee,kwa kpnd hko tyr nlikua na manzi tna ambae alikua na ujauzto wangu namshukur mungu kanletea dume asee.Story inaendlea,natmia goroka
Novel tayar
 
Hellow Jf.member

Nilikua na ukarb na binti m1 baada ya siku kadhaa nkarusha ndoano haikunasa, akadai yupo na mtu ambae wameshafikishana had kwa wazazi,nkamwambia a keep it na mungu awajalie mahusian yao yadumu, tkaw t na urafiki wa kawaida baad ya miezi kama miwili hv akantafta aktaka tuonane.
Bro hizo essay ndio ulikua unachapa namna hii?
 
Back
Top Bottom