Brown Mduma
Senior Member
- Sep 29, 2020
- 184
- 295
wote vichomi , hakuna mwenye afazaliyupi anaenifaa apo kati ya ambae she has nothing to offer than her body au ambae ni muajiriwa anaingiza pesa kila mwezi?
Case yangu nisawa nayako,hata mm naungana naww kusubiria ushauri wa wawakubwa hapa wenye experience zao....@Mshana Jr Intelligent businessman Bujibuji Simba Nyamaume makaveli10 mzabzab UMUGHAKA Shimba ya Buyenze GENTAMYCINE Bundakwetu Sexless Gilly123 Nakadori Saint Anne To yeye ...nawenginei wote ambao hawajatajwa hapa kuja kutoa ushauri.nawasilishahapaMimi ni mfanyabiashara ambae bado na hustle kufikia ndoto zangu nilizojiwekea ila nataka ushauri kidogo.
Mtu hustler kama mimi mwanamke ambae atanifaa kwa future yaani ntakae kuja kumuoa, awe ambae hana kazi kabisa yaani anaenitegemea mimi kwa kila kitu au niwe na mwanamke ambae nimfanyakazi (muajiriwa) yaani mwisho wa mwezi anapokea sio chini ya 500K ambae naweza kuambia bhana mimi nina 1M apa unaweza kuongeza lak 5 tununue kiwanja au hata nikikwama sehemu naweza kumkopa kiasi flani cha pesa afu nikamrudishia baada ya kusolve shida yangu, yupi anaenifaa apo kati ya ambae she has nothing to offer than her body au ambae ni muajiriwa anaingiza pesa kila mwezi?
Najua humu kuna hustlers wengi ambao wameoa au wako kwenye relationship wanaweza kunipa ushauri mzuri kutokana na experience zao juu ya hili.
wote vichomi , hakuna mwenye afazali
Ngoja waje tupata experienceCase yangu nisawa nayako,hata mm naungana naww kusubiria ushauri wa wawakubwa hapa wenye experience zao....@Mshana Jr Intelligent businessman Bujibuji Simba Nyamaume makaveli10 mzabzab UMUGHAKA Shimba ya Buyenze GENTAMYCINE Bundakwetu Sexless Gilly123 Nakadori Saint Anne To yeye ...nawenginei wote ambao hawajatajwa hapa kuja kutoa ushauri.nawasilishahapa
Asante kwa ushauri mkuu..... unakuta sasa ambae hana kitu ndio anakuganda zaidi apo ndio wananiachaga njiapanda [emoji847]Tafuta mwanamke anae ingiza kitu hata kama ni kidogo miaka hii na usawa huu unaoaje mwanamke yupo yupo tu home kwao hana biashara wala ajira labda kama ni graduate mwenye malengo! Sio slayqwin!
Mama mzuri kwa watoto anakuaje mkuu kama hutojali nifafanulie kidogoVijana sikuhizi mnatafuta wanawake Kwa kigezo cha pesa?
Tafuta mwanamke atakayekuwa mama mzuri kwa wanao na ambaye atakupenda kwa vipindi vyote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao hawakawii kukuabisha hadharani kwamba anakulea[emoji119]Wakikushauri kuoa mwanamke mwenye kipato uje pm Kuna chimbo la mamadam wa sec ni masingle maza[emoji16][emoji16][emoji16]ukiahidi uchumba yatakuchukulia mkopo
😁😁😁Kuna namna ya kuishi na hawa viumbe sheikh! Usiende mtupu mpaka unamfata maanake we una jeuri ya dollar Kwa kiasi flan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao hawakawii kukuabisha hadharani kwamba anakulea[emoji119]
ahaaa' ndio wako wap hao mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]Kuna namna ya kuishi na hawa viumbe sheikh! Usiende mtupu mpaka unamfata maanake we una jeuri ya dollar Kwa kiasi flan
Pole mtaalamu. Pambana na biashara zako tengeneza pesa . hayo mengine achana nayo yatakuja automatic katika majira yake sahihi.. kikubwa jiheshimu na utunze hadhi yako ya kiume..Mimi ni mfanyabiashara ambae bado na hustle kufikia ndoto zangu nilizojiwekea ila nataka ushauri kidogo.
Mtu hustler kama mimi mwanamke ambae atanifaa kwa future yaani ntakae kuja kumuoa, awe ambae hana kazi kabisa yaani anaenitegemea mimi kwa kila kitu au niwe na mwanamke ambae nimfanyakazi (muajiriwa) yaani mwisho wa mwezi anapokea sio chini ya 500K ambae naweza kuambia bhana mimi nina 1M apa unaweza kuongeza lak 5 tununue kiwanja au hata nikikwama sehemu naweza kumkopa kiasi flani cha pesa afu nikamrudishia baada ya kusolve shida yangu, yupi anaenifaa apo kati ya ambae she has nothing to offer than her body au ambae ni muajiriwa anaingiza pesa kila mwezi?
Najua humu kuna hustlers wengi ambao wameoa au wako kwenye relationship wanaweza kunipa ushauri mzuri kutokana na experience zao juu ya hili.
Hii sasa ndio akiliKwaiyo unaishauri niachane na mapenzi kabisaa [emoji1751]
Hili jina sio geni kabisa kwangu.Mimi ni mfanyabiashara ambae bado na hustle kufikia ndoto zangu nilizojiwekea ila nataka ushauri kidogo.