Habari wanajamii,,nahitaji upande wa kupanga,room moja na sitting room,na jiko km lipo,,maeneo ya kijitonyama mpaka morocco. Kwa anayeweza kunisaidia dalali nitashukuru. Asanten.