Rugaijamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2010 Posts 2,942 Reaction score 1,302 Feb 26, 2015 #1 Wapendwa hope mko njema. Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu. Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M. Asanteni in advance.
Wapendwa hope mko njema. Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu. Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M. Asanteni in advance.
Tujikomboe Finance JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 212 Reaction score 81 Feb 26, 2015 #2 Kwa bei uliyotaja ni ngumu kuamini kama upo kwenye hii sekta. Anyway ngoja tusubiri wadau huenda tukapata mchongo
Kwa bei uliyotaja ni ngumu kuamini kama upo kwenye hii sekta. Anyway ngoja tusubiri wadau huenda tukapata mchongo
Rugaijamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2010 Posts 2,942 Reaction score 1,302 Feb 27, 2015 Thread starter #3 Tujikomboe Finance said: Kwa bei uliyotaja ni ngumu kuamini kama upo kwenye hii sekta. Anyway ngoja tusubiri wadau h uenda tukapata mchongo[/quote's] Nipo kwenye hii sekta mwaka wa 7sasa. Naamini naweza kupata ya bei hiyo mkuu . Click to expand...
Tujikomboe Finance said: Kwa bei uliyotaja ni ngumu kuamini kama upo kwenye hii sekta. Anyway ngoja tusubiri wadau h uenda tukapata mchongo[/quote's] Nipo kwenye hii sekta mwaka wa 7sasa. Naamini naweza kupata ya bei hiyo mkuu . Click to expand...
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,289 Reaction score 1,426 Feb 27, 2015 #4 Rugaijamu said: Wapendwa hope mko njema. Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu. Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M. Asanteni in advance. Click to expand... You are having a laugh ,
Rugaijamu said: Wapendwa hope mko njema. Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu. Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M. Asanteni in advance. Click to expand... You are having a laugh ,
K Kidogo chetu JF-Expert Member Joined Nov 27, 2009 Posts 1,432 Reaction score 993 Feb 27, 2015 #5 Rugaijamu said: Wapendwa hope mko njema. Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu. Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M. Asanteni in advance. Click to expand... Hiyo ni bei ya spare mkuu mile ndo kazi yang u naimport iNBOX ME
Rugaijamu said: Wapendwa hope mko njema. Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu. Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M. Asanteni in advance. Click to expand... Hiyo ni bei ya spare mkuu mile ndo kazi yang u naimport iNBOX ME
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,078 Reaction score 137,322 Feb 28, 2015 #6 Tunapenda sana slopa watz! Ultra sound kwa 4 mln
A ArsenalFC Senior Member Joined Dec 19, 2013 Posts 117 Reaction score 35 Feb 28, 2015 #7 Huyu jamaa hayupo serious! Yaani ultrasound machine kwa 4 million? Hata probe yake moja tu used 4 million haitoshi; afu anasema yupo kwenye field for 7 years now. Tafuta $25,000 nikupatie brand new philips hd7xe na probe moja. Ofa hiyo kwako..
Huyu jamaa hayupo serious! Yaani ultrasound machine kwa 4 million? Hata probe yake moja tu used 4 million haitoshi; afu anasema yupo kwenye field for 7 years now. Tafuta $25,000 nikupatie brand new philips hd7xe na probe moja. Ofa hiyo kwako..