Top Thinker
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 183
- 125
Mkuu, Samsung wametoa ya inch 65?Sijui kama huwa mnafanya research kabla ya kununua vitu hasa vinavyotumia umeme. Hivi ulishajiuliza ni kwa nini betting zote wamefunga Samsung? Ukweli ni kuwa tv ya Samsung ndio tv pekee inayoweza kuwaka 24/ 7 bila kupata shida.
Vile vile Samsung inatumia 8.2 rgb pixel while hiyo unayosemea ni 6.4
Msipende kudanganywa na umbile la tv
Function ya kwanza ya tv ni kuangalia na mengine yanafata. Sasa Samsung kwa kuangalia picha yake imeboreshwa kuliko tv nyingine duniani vile vile na uimara wake.
Ila kama unapenda shape ya tv iwe nzuri nenda kanunue hiyo unayoisemea.
Kila la gheri mkuu katika maamuzi sahihi.
Ipo inch 65 SUHD. ipo pia 88 SUHD. SUHD ni super/Smart/ shrinking ultra high definitionMkuu, Samsung wametoa ya inch 65?
Asante kwa ushauri mkuu. Ila nimesema "Lg inapewa kipaumbele", haimaanishi ukiwa na Panasonic, au Sharp au Samsung sitaihitaji. But in short nimesema LG kwa kuwa almost electronic appliances zangu zote ni za LGSijui kama huwa mnafanya research kabla ya kununua vitu hasa vinavyotumia umeme. Hivi ulishajiuliza ni kwa nini betting zote wamefunga Samsung? Ukweli ni kuwa tv ya Samsung ndio tv pekee inayoweza kuwaka 24/ 7 bila kupata shida.
Vile vile Samsung inatumia 8.2 rgb pixel while hiyo unayosemea ni 6.4
Msipende kudanganywa na umbile la tv
Function ya kwanza ya tv ni kuangalia na mengine yanafata. Sasa Samsung kwa kuangalia picha yake imeboreshwa kuliko tv nyingine duniani vile vile na uimara wake.
Ila kama unapenda shape ya tv iwe nzuri nenda kanunue hiyo unayoisemea.
Sawa ila fanya research na soma sana kwenye mtandao utajua nachozungumzia ni niniAsante kwa ushauri mkuu. Ila nimesema "Lg inapewa kipaumbele", haimaanishi ukiwa na Panasonic, au Sharp au Samsung sitaihitaji. But in short nimesema LG kwa kuwa almost electronic appliances zangu zote ni za LG
Njoo tukupe samsung yenye zenye ukubwa wa 65inch kwa bei zifutazoKama una TV ambayo ni 65" weka offer yako hapa chini, isiwe plasma tu.
LG inapewa kipaumbele zaidi, smart, 3D will be added advantage.
Thank You
Wapi unapatikanaNjoo tukupe samsung yenye zenye ukubwa wa 65inch kwa bei zifutazo
[emoji625]SAMSUNG LED TV 65ES8000(Smart) Tsh 9,560,000.
[emoji625]SAMSUNG LED TV 65H6400(smart) Tsh 6,908,000
[emoji625]SAMSUNG LED TV 65H8000(smart & curved)
Tsh 9,453,000
[emoji625]SAMSUNG LED TV 65F8000(Smart) Tsh 10,737,000
[emoji625]SAMSUNG LED TV 65HU7200(Smart Curve and 4k)
Tsh 7,634,000
[emoji625]SAMSUNG LED TV 65JS9000
Tsh 14,000,000
[emoji625]SAMSUNG LED TV 65HU9000( uhdtv curved and smart and 4k)
Tsh 10,523,000
[emoji625]SAMSUNG LED TV 65JU6000
Tsh 6,500,000
[emoji625]SAMSUNG LED TV 65F9000(UHD Smart)
Tsh 13,680,000
Nimekuwekea model hapo ili uweze ku google na kupata details zaidi..pia waweza piga simu
[emoji337]0715531232[emoji338]
Tupo Jmall au mliman cityWapi unapatikana
Tv sawa na hela ya Gari
14M Passo, vitz, raum, ranx, Carina, ist, Subaru, .......Gari gani?