Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 78
Habari za jioni wadau. Nahitaji trekta lililotumika 4WD prefarably kuanzia HP 50 na kuendelea. Mwenye taarifa naweza kulipata wapi kwa Bongo please!

kwa nini unataka used, kwani bajeti yako inaishia ngapi mkuu?