Habari wanajukwaa
nahitaj tray 200 za mayai ya kuku wa kisasa kesho.
kama unayo tafadhali ni pm tufanye biashara
nimepata mteja ila stock yangu haijaweza kukidhi mahitaji yake.
Nahitaj mfugaji muaminifu tusaidiane kutoa huduma hii.
Natanguliza shukrani