mkuu jaribu kuwasiliana na KC GLOBAL LINK ni vijana wa ki Tanzania wako UK wanaweza kuwa na msaada kwako wacheki fb kwa jina hiloWanajamii forum nahitaji tractor used bongo Ila ambalo liko poa na tayari kwaajili ya msimu ujao wa kilimo. Aina iwe Massey Ferguson HP 165 au 375, au jingine linaloweza kuhimili na rahisi kupata spea. sio ya kihindi please, budget 15-20mil inategemeana na hali ya tractor. Mwenye idea anipm
Asanteni sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kaka, John Deere pia safi sana nitajaribu kuangalia hapoUbungo Darajani huwa nayaona hayo unayoyataka,Massey na used. Babu yangu alikuwa na John Deere alifariki miaka ya 80 lkn mpaka kesho kitu kinasukuma mzigo,ulizia na hiyo inaonekana ni chombo hasa
Asante mkuu nitajaribu kuwachungulia nipate mwanga kama naweza pata la UK kwa kabajeti hako safi. Ila recently naona hizi used from abroad na mpya zimeshoot sana bei sijui kodi imerudishwa!!!mkuu jaribu kuwasiliana na KC GLOBAL LINK ni vijana wa ki Tanzania wako UK wanaweza kuwa na msaada kwako wacheki fb kwa jina hilo
sina hakika kama kodi imerejeshwa ila kama miezi mitatu nyuma jamaa walikuwa nalo na wakasema hakuna kodi ni naulu yako na gharama ya mzigo halafu uzuri ni kuwa unalipia hapahapa kwa wakala waoAsante mkuu nitajaribu kuwachungulia nipate mwanga kama naweza pata la UK kwa kabajeti hako safi. Ila recently naona hizi used from abroad na mpya zimeshoot sana bei sijui kodi imerudishwa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi safi naona niwatafute hawa wanipe mwelekeosina hakika kama kodi imerejeshwa ila kama miezi mitatu nyuma jamaa walikuwa nalo na wakasema hakuna kodi ni naulu yako na gharama ya mzigo halafu uzuri ni kuwa unalipia hapahapa kwa wakala wao
Mkuu umeona kabajeti kangu? Naona John Deere toka Lonagro Ila bei zake ni kubwa sana zipo nje ya bajeti yangu [emoji17]John deere ni mazuri pia ukitaka naweza kuku unganisha au nikupatie No ya kuulizia kabisa offisini kwao
Kama upo mikoani kuna branch pia
In ua Presence Jesus is where I belong
Owk nimekuelewaMkuu umeona kabajeti kangu? Naona John Deere toka Lonagro Ila bei zake ni kubwa sana zipo nje ya bajeti yangu [emoji17]