Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
wasubiri watakuja soon.Habari
Nahitaji gari iwe, Toyota Noah old model.
-Gia fupi
-Automatic transmission
-Iwe katika hali nzuri
-Isiwe imeshawahi pata ajari wala kufunguliwa engine.
-Pia iwe zanzibar ambako nilipo.
Mawasiliano Yangu.
0716 403314
0625 882454
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa marekebisho nduguwasubiri watakuja soon.
ajari=ajali.
Nasikia tutapata vitzUmechoka kusubiria za makinikia? Au kuna tetesi mbaya umezipata?
HahaaaaahUmechoka kusubiria za makinikia? Au kuna tetesi mbaya umezipata?
Hahaha wewe haugopi kupimwa mkojo ?Umechoka kusubiria za makinikia? Au kuna tetesi mbaya umezipata?
Huyu kuddo yupo hapa Zanzibar au?Sijui ila kwa msaada zaidi ingia Facebook tafuta page anaitwa NJOO TUKUAGIZIEA GARI, au kwa magari used mtafute Facebook MTU anaitwa KUDDO FISH
Uyo jamaa alikuwaga Zanzibar, nowdayz sifahamu ila biashara zake anapiga kotekote na tushawahi kufanya nae biashara
SawaUyo jamaa alikuwaga Zanzibar, nowdayz sifahamu ila biashara zake anapiga kotekote na tushawahi kufanya nae biashara
Mh habari yako mkuu ...me ninayo hyo gari namba zako whatsapp ziko....Habari
Nahitaji gari iwe, Toyota Noah old model.
-Gia fupi
-Automatic transmission
-Iwe katika hali nzuri
-Isiwe imeshawahi pata ajali wala kufunguliwa engine.
-Pia iwe zanzibar ambako nilipo.
Mawasiliano Yangu.
0716 403314
0625 882454
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app