nahitaji toshiba laptop mpya

Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Kama ni mpya sina hakika kama utapata, usikate tamaa hata hivyo nenda kariakoo kama upo Dar zungukazunguka madukani unaweza ukabahatisha moja. Ungekuwa na laki 6 na nusu ningekupeleka duka moja ambalo ni Tax Duty free ungepata machine mpya na nzuri sana.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,718
2,000
am not sure kama ni 320gb au 500gb ila nna uhakika ram ya 2gb na processor ya intel 2ghz kwa laki 5 na 20 mtaa wa uhuru kwenye sheli ya gapco/total nyekundu hivi kwa pemben wanauza
 

rilprogrammer

Member
Jun 5, 2011
95
95
mPYA MKUU.

-Toshiba Satellite C850-B699
Intel DualCore B960 (2.2GHz)/ 2GB RAM /500GB HDD /15.6 inch/With DOS/DVD RW /BT/WiFi/ WebCam kwa 570,000/=

-
Lenovo ideapad G500 Intel Celeron 1005M 1.9GHz (2MB cache L3 )/ 2GB RAM/ 500GB HDD /DVDRW Multi layer / 15.6" wide HD LED Bright view Screen / CAMERA / Bluetooth / Wi-Fi / 6 CELL Battery kwa 540,000/=


 

Walas Ba

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
3,247
2,000
-Toshiba Satellite C850-B699
Intel DualCore B960 (2.2GHz)/ 2GB RAM /500GB HDD /15.6 inch/With DOS/DVD RW /BT/WiFi/ WebCam kwa 570,000/=

-
Lenovo ideapad G500 Intel Celeron 1005M 1.9GHz (2MB cache L3 )/ 2GB RAM/ 500GB HDD /DVDRW Multi layer / 15.6" wide HD LED Bright view Screen / CAMERA / Bluetooth / Wi-Fi / 6 CELL Battery kwa 540,000/=Oya upo wapi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom