Mtoto mkubwa
Member
- Dec 29, 2014
- 68
- 23
Eti nyie viumbe mliokuemo humu. nahitaji kujua kama kweli kuna dawa za kuongeza Dushe (Uume). kama kunamtu amewahi kutumia dawa yoyote na amefanikiwa nijue ni dawa ipi hiyoo...
hili ni bonge la problem.. na laiti kama ungekuanalo ww, ungeipata freshy.Hivi hili tatizo ni kubwa kiasi hiki ?