Nahitaji tende kwa bei ya Jumla

Nahitaji tende kwa bei ya Jumla

consigliare

Member
Joined
Feb 8, 2018
Posts
38
Reaction score
49
Habarini wana JF!Je naweza pata wapi tende bora kabisa Tanzania kwa bei ya jumla? Natanguliza shukrani
 
Nenda mtaa wa Sikukuu na Mkunguni karibu na soko kuu la Kariakoo zipo tende kiasi unachotaka. Zipo kuanzia 50,000 kwa boksi la kilo kumi na pia zipo za 150,000 kwa box la kilo tano.
 
Nenda mtaa wa Sikukuu na Mkunguni karibu na soko kuu la Kariakoo zipo tende kiasi unachotaka. Zipo kuanzia 50,000 kwa boksi la kilo kumi na pia zipo za 150,000 kwa box la kilo tano.
Ok. Nashukuru..umejua ni kwanini hili box la kg 10 ni bei rahisi zaidi ya hilo la kg 5?
 
Back
Top Bottom