nahitaji tecno phantom a+

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,861
Reaction score
828
mwenye simu tajwa ajitokeze tufanye biashara.budget yangu ni 200k
 

Attachments

  • 1402245856138.jpg
    7.9 KB · Views: 314
Wacheni kutumia misimu hiyo, mnajitafutia cancer tu...hizo simu za mchina ziko na miyonzi mikali sana compared na simu nyingine! Hazifai kutumiwa na binadamu na ndio maana zinapatikana africa pekee???
 
Hivo afrika hakuna binadamu?

Wenyewe ndio mnafikiri kuwa kuna binadamu lakini wenzenu wanaona kuna panya na ndio maana zikaletwa africa na si kwingineko duniani kwa lengo la kuwafanyia animal test!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ