Nahitaji moja ya hizo simu...bajeti yangu 130....naomba cm iwe kwenye hali nzuri isiwe na mikwaruzo.
Mkuu ipo kwenye hali gani??
Mkuu ipo kwenye hali gani??
Ina condition
nzuri kupita maelezo,haina damage ya aina yoyote wala haijawahi kuanguka
hata urefu wa futi moja.net ipo fasta resolution ya screen ipo poa
sana. Ukiitoa kwenye cover ni mpya kabisa
kama ni hivyo sawa ila kwa kuwa ni used inabidi upunguze hiyo bei...mkuu c umeona bajeti yangu??
picha tafadhali.
ndio maana nikataka used...
huawei y300 kwa 170k kama unafika bei chek pm