Nahitaji tecno spark 4,spark 3 spark 2 ,camon 11, au tecno yoyote ,infinix au samsung a10 nipo moshi na uwe moshi au arusha kama unayo nichek kwa namba 0759 432 654 au njoo pm tuyajenge
Hizo Samsung A10 zishawasumbua wengi nathan zina kasoro, tafuta A20 na kuendelea.
Huko kwingne sina uzoefu sana japo techno ya mke wangu ina visa [emoji1787][emoji1787]