Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Wadau, nimepoteza simu mbili za ghali mfululizo kwa kupanda kwenye bodaboda na simu kudondoka njiani baada ya mifuko ya suruali kuwa mifupi, nahitaji Tablet, najua sitaweza kuiweka mfukoni hivyo basi ntadumu nayo. Nahitaji haraka maana nimetoka kurenew line sasahivi. Iwe ni Techno P9 au isiyozidi bei 350,000 - 400,000. niPM namba yako kama uko nayo ya kuuza au unielekeze duka hapa Arusha. Thanks.
pole kwa kupoteza simu ila hapohapo arusha onana na mkuu Young Master atakusaidia tatizo lako
Pole nenda DUKANI Usipende mademu wa wenzio tafuta wako pekeyako ambaye hana historia ya kutomika na mwingine
weka namba yako nikurushie upesi.
weka namba yako nikurushie upesi.
sijapenda jibu lako nilvyokuPM...just be friendly next time coz always one business leads to another lol!