Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Samsung Tab 4 laki 4 na nusu
Chingas said:niko na nokia ya tochi nitakuuzia sh 80,000
pale kwa benson inauzwa 40,000 = chagua moja
Wadau, nimepoteza simu mbili za ghali mfululizo kwa kupanda kwenye bodaboda na simu kudondoka njiani baada ya mifuko ya suruali kuwa mifupi, nahitaji Tablet, najua sitaweza kuiweka mfukoni hivyo basi ntadumu nayo. Nahitaji haraka maana nimetoka kurenew line sasahivi.
Iwe ni Techno P9 au isiyozidi bei 350,000 - 400,000.
niPM namba yako kama uko nayo ya kuuza au unielekeze duka hapa Arusha.
Thanks.
Km uko Arusha sawa ila kwa Dar watu ni wajanja kidogo huwezi kutumia tablet product ya Techno...
Km uko Arusha sawa ila kwa Dar watu ni wajanja kidogo huwezi kutumia tablet product ya Techno...