Nahitaji taa used ya Spacio New Model

Nahitaji taa used ya Spacio New Model

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,049
Reaction score
2,168
Habari za muda huu wadau.

Nimepata shida kwenye gari yangu. Taa ya upande wa kulia imepasuka. Tafadhali kama kuna mtu anayo tufanye mazungumzo.

Mawasiliano 0658444526.

Napatikana DSM
 
Unamiliki spacial lakini huna pesa ya Taa mpya tena ya Upande mmoja tu vipi kama ikipata Mweleka ikabondeka bondeka utaweza kuirepair kweli au utakuja kuomba mwenye spacial Used akuuzie Bod

Nb.
Ni ngebe zangu tu mkuu mi sina ninachomiliki zaidi ya gheto.
 
Nenda ilala acha uvivu mkuu kama unatafuta spare ya Jaguar Xj TD vile Wakati taa za spacio zimejaaa
 
Nenda ilala acha uvivu mkuu kama unatafuta spare ya Jaguar Xj TD vile Wakati taa za spacio zimejaaa
Mitandao ipo kwa ajili ya kurahisisha vitu. Pia huwezi jua ratiba zangu zimenibana kiasi gani nashukuru nimeshaifunga jana hy hy...
 
Unamiliki spacial lakini huna pesa ya Taa mpya tena ya Upande mmoja tu vipi kama ikipata Mweleka ikabondeka bondeka utaweza kuirepair kweli au utakuja kuomba mwenye spacial Used akuuzie Bod

Nb.
Ni ngebe zangu tu mkuu mi sina ninachomiliki zaidi ya gheto.
[emoji4]
 
Back
Top Bottom