Nahitaji suzuki cary DD51T

Hebie

JF-Expert Member
Jul 29, 2012
1,414
865
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.

Bajeti yangu 5mil nahitaji gari tajwa hapo juu iwe kwenye hali nzuri, isiwe na mahitaji ya matengenezo yoyote.

Pm tujadili
 
Jaman hakuna muuzaji! ok acha niende car tradeview
 
Zipo hadi za 4m, niongeze pesa Kidogo nikuletee toka Zanzibar, namba ikibadilika itakuwa D kwako itakuwa ni rahisi kuuza kama ukitaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom