Habali za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu , nahitaji suppliers(wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100,200,300,400,500,600 na kuendelea kwa week ,nipo dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji , mawasiliano Ni P.M namba
Nipe namba yako tufanye biashara pleasehujatoa no wala bei
Nipe namba zako mkuu ili tufanye biashara.Unanua Shilingi ngapi kwa tray?
Wewe una uwezo wa kuni-supply trays ngapi kwa week?Kama ni chini ya hzo tray huchukui?na unanunua kwa sh ngap kwa tray na usafiri ni Juu yako?
nipo hapa trey 500/800 kila siku.Habali za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu , nahitaji suppliers(wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100,200,300,400,500,600 na kuendelea kwa week ,nipo dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji , mawasiliano Ni P.M namba
0688802045 na 0621290458Habali za muda huu wakuu, kama kichwa kinavyoeleza hapo juu , nahitaji suppliers(wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100,200,300,400,500,600 na kuendelea kwa week ,nipo dar na kwa suppliers wa mikoani pia nawahitaji , mawasiliano Ni P.M namba
Bado unazo na je unauzaje....0625602775Ushashiba au bado unahitaji? Naweza leta trays 500 kwa wiki.
Mi ninazo, ila kwa week tray 100.…bei 6500 kwa jumla.Bado unazo na je unauzaje....0625602775
Mi ninazo, ila kwa week tray 100.…bei 6500 kwa jumla.
Nipo dodoma pia, nitumie namba zako pm