Achana nae huyo mbabaishaji eti unampigia simu anakuambia uulizia kwanza kama zipo halafu tulete gari hahahaha... juzi tu zimesafirishwa hapa tani 23 za soya wamechukua wachina fulani
Huyu ni mwanafunzi utampaje connection nilimpigia simu nikamstua huku soya zipo nitajie bei anakwepa mara oooh ulizia zikiwepo tulete gari nikaona hapa hamna muhitaji soya juzi nimesimamia usafirishaji wa tani 23 zimeenda dar,simu moja tu kwa mchina alitaja bei kwa kilo na wiki mbili zijazo unasafirishwa mzigo mkubwa zaidi