G Geofree Member Joined Aug 18, 2014 Posts 44 Reaction score 5 May 20, 2015 #1 Android smart phone yangu kila nikifungua app ya meridianbet haifunguki inaandika check internet connection or region
Android smart phone yangu kila nikifungua app ya meridianbet haifunguki inaandika check internet connection or region
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,487 May 20, 2015 #2 Region inaweza maanisha huruhusiwi kutumia hio app ukiwa tanzania, kama unaingia internet kawaida. Wenzako wanaweza kufungua?
Region inaweza maanisha huruhusiwi kutumia hio app ukiwa tanzania, kama unaingia internet kawaida. Wenzako wanaweza kufungua?
G Geofree Member Joined Aug 18, 2014 Posts 44 Reaction score 5 May 20, 2015 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: Region inaweza maanisha huruhusiwi kutumia hio app ukiwa tanzania, kama unaingia internet kawaida. Wenzako wanaweza kufungua? Click to expand... Ndio wanatumia vizuri tu
Chief-Mkwawa said: Region inaweza maanisha huruhusiwi kutumia hio app ukiwa tanzania, kama unaingia internet kawaida. Wenzako wanaweza kufungua? Click to expand... Ndio wanatumia vizuri tu
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,692 Reaction score 2,576 May 20, 2015 #4 Kutegemea unatumia mtandao gani unaweza ukaonekana upo nch i tofauti, hii ni kutokana na provider wako anaroute vipi data. So unaweza ukawa unatumia Voda ila public IP yako ikaonekana ipo UK. So nakushauri ujaribu kukunect na sim card kama ya mwenzako anayefanikiwa.
Kutegemea unatumia mtandao gani unaweza ukaonekana upo nch i tofauti, hii ni kutokana na provider wako anaroute vipi data. So unaweza ukawa unatumia Voda ila public IP yako ikaonekana ipo UK. So nakushauri ujaribu kukunect na sim card kama ya mwenzako anayefanikiwa.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,487 May 20, 2015 #5 Geofree said: Ndio wanatumia vizuri tu Click to expand... hautumii vpn au proxy? hizo nazo zinaweza kukufanya uonekane haupo region hii
Geofree said: Ndio wanatumia vizuri tu Click to expand... hautumii vpn au proxy? hizo nazo zinaweza kukufanya uonekane haupo region hii
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,062 Reaction score 43,487 May 20, 2015 #6 pia cheki acess point nenda setting then more network then mobile network then acess point kama una setting za wap au internet
pia cheki acess point nenda setting then more network then mobile network then acess point kama una setting za wap au internet