spike Senior Member Joined Jan 8, 2011 Posts 112 Reaction score 15 Jul 22, 2014 #1 nina maharage ya uyole 96 (hybrid), ni yale maharage mekundu. pia tuna mahindi zaidi ya tani 5000. mwenyewe soko la haya mazao naomba anijuze. shukrani wakuu
nina maharage ya uyole 96 (hybrid), ni yale maharage mekundu. pia tuna mahindi zaidi ya tani 5000. mwenyewe soko la haya mazao naomba anijuze. shukrani wakuu
B bato JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,959 Reaction score 3,476 Jul 22, 2014 #2 Kenya kuna soko la uhakika. Wasiliana na mfanyabiashara wa mazao aliyeko mpakani mwa Kenya, utapata bei nzuri.
Kenya kuna soko la uhakika. Wasiliana na mfanyabiashara wa mazao aliyeko mpakani mwa Kenya, utapata bei nzuri.