Nahitaji software ya kumlocate mtu

Nahitaji software ya kumlocate mtu

Plate Number

Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
19
Reaction score
9
Wakuu ninaomba anayejua software ya kuweka kwenye simu/namna ya kujua alipo mtu kupitia number ya simu anielekeze.

Mfano : mtu yuko Mara lakini anakuambia yuko Songea naomba msaada plz. Anayeijua anaweza kuniPM.
 
Ma naijua mojaa mkuu.. Lakini hiyoo inafanya kazi hivi mkuu..

““ kwa mtu aliye nje ya nchi akikucall inakuja number yake pamoja na jina lake.. Lakini kwa mtu aliye ndani ya nchi iliyopo wewe like kama ww upo dar yeye yupo songea akikupigia simu inaonekana number ake pamoja na jina.. Bt haileti majibu kuwa hiyoo simu inatoka wapi..

Note.: nimekuambia mtu aliye ndani ya nchi inaleta number ake pamoja na jina,, by jina alolosajilia line ake.. Sasa hapo utajua kama alikudanganya jina au alisajili na kitambulisho cha mtu.. Ameumbukaaaa..
Hiyoo app Inaitwa true caller..

Ngoja waje wataalamu kuhusu hiyoo ya location am sure kama ni app ya location,, hapo GPS lazima ihusike sasa kama anatumia nokia obama sijui
 
1. Nearby cell:waweza jua kupitia kwa net provider kwa kuangalia ni cell ipi yuko attached at a particular time..
2. Coordinates/loaction of the caller: kama mobile equipment anayotumia iko smart na activated kwa location waweza jua mahali a lipo
 
Thanks mkuuu maaaana na mm nilikuwa naitafutaga hiyoooo asanteee.. BARRY
 
Last edited by a moderator:
1. Nearby cell:waweza jua kupitia kwa net provider kwa kuangalia ni cell ipi yuko attached at a particular time..
2. Coordinates/loaction of the caller: kama mobile equipment anayotumia iko smart na activated kwa location waweza jua mahali a lipo

Nashukuru sana Mkuu.
 
Plate Number Kwa kukurahisishia tu maisha ni kwamba hiyo software haipo, utatafuta hadi utoke jasho na hutofanikiwa, software kama hiyo hata jeshi letu la Tanzania wangependa kua nayo lakini hawana, hizi zinatumiwa na nchi kubwa kama USA, mtu akikupigia simu inakuwezesha kumtrack alipo, ingekuwepo nje nje hivi watu wangeweza kuitumia vizuri sana kwa shughuli za uhalifu.

Njia pekee ya kujua mtu yuko wapi kwa sasa ambayo imebaki ni yeye mwenyewe kukuruhusu, mfano ukiwa unachat kwenye Messenger kama mtu karuhusu share location basi akituma message inakuja na inaonyesha pia yeye yuko wapi, lakini haikupi actual place, inakupa estimation tu, hiyo nadhani itatatua tatizo lako maana kama unachotaka kujua tu ni ka yupo Mara basi itaonyesha vizuri tu kua yupo mfano Musoma mtaa flani..
 
Dreson4 ur right mkuu nimetafuta jana hadi kichwa kimeniumaa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom