Mimi najaza details, kisha naweka cheque kwa Printer,sasa jinsi unavyotaka wewe iwe ingekuwa vizyr tujui ili tukusaidie mkuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo nimekupata so unatumia software kujaza ammount but yenyewe inapeleka kwa word sio?Mimi najaza details, kisha naweka cheque kwa Printer,
Ni rahis kujaza tu details na ku draft template lakin sasa software ingefaa zaidi,
Mfano Nikiweka tu amount in figures yenyewe iwe inatoa amount in word bila mimi kuhitajika kuandika tena,
Mimi najaza details, kisha naweka cheque kwa Printer,
Ni rahis kujaza tu details na ku draft template lakin sasa software ingefaa zaidi,
Mfano Nikiweka tu amount in figures yenyewe iwe inatoa amount in word bila mimi kuhitajika kuandika tena,
Yeah, software inafanya hivyo.hapo nimekupata so unatumia software kujaza ammount but yenyewe inapeleka kwa word sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hundi ya bank si ni hard copy tayari? Au unamaanisha nini boss?Kivip Mkuu?
Hundi ni ya Benki always, but inayohusu Biashara yangu, so vyote viwili ni sawa
Anataka badala ya kuandika cheque kwa mkono, aingize details kwenye software na cheque kwenye printer, imjazie.Sasa hundi ya bank si ni hard copy tayari? Au unamaanisha nini boss?
Kama unamaanisha reprinting hapo sidhani kama ni rahisi kuokota ready made software. Itabidi utafute mtu akuandikie hiyo specific softwareMimi najaza details, kisha naweka cheque kwa Printer,
Ni rahis kujaza tu details na ku draft template lakin sasa software ingefaa zaidi,
Mfano Nikiweka tu amount in figures yenyewe iwe inatoa amount in word bila mimi kuhitajika kuandika tena,
Nimeiona kwenye post ya chini. Ahsante kwa ufafanuzi. Sioni kama ana options zaidi ya kuandika mwenyewe. Ngoja waje wataalam wa kuiba software...Anataka badala ya kuandika cheque kwa mkono, aingize details kwenye software na cheque kwenye printer, imjazie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio kwamba sijui kuandika amount in figures hivyo natafuta usaidizi wa ku translate figures/numbers into words, NO. Bali sitaki kutumia mkono kuandika cheki, nataka itoke ikiwa printed. Na sitaki kufanya kazi mbili mbili ya kuandika kwa tarakimu kisha nije niandike kwa maneno tena.Mbona kwenye excel unaweza weka andika tu amount in figures..halafu ukaweka formula ina convert into words yenyewe tu..halafu una copy hayo maneno unaandika cheque yako kwa mkono..simple tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Benki si wamenipa kitabu (cheque book) ambayo ina empty leaves naitumia kulipa? Sasa nkitaka kulipa nachana ki pepa kimoja naichomeka tu kwa printer then naingiza data kwa computer na kuprint hiyo cheque (paper)Sasa hundi ya bank si ni hard copy tayari? Au unamaanisha nini boss?
Hapo lazima custom software ihusike. Sio rahisi kukuta software inafanya hivyo tu.Benki si wamenipa kitabu (cheque book) ambayo ina empty leaves naitumia kulipa? Sasa nkitaka kulipa nachana ki pepa kimoja naichomeka tu kwa printer then naingiza data kwa computer na kuprint hiyo cheque (paper)