Nahitaji software ya gharama ndogo, web version kwa ajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown.
Pia ya transport na logistic low cost web version.
Nawasilisha
NB: ikiwa imedesigniwa hapa hapa Tanzania itapendeza pia
habari ,nahitaji software ya gharama ndogo,web version kwaajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown
Pia ya transport na logistic low cost web version na Clearing and forwarding Erp
Nawasilisha
Nb: ikiwa imedesigniwa hapa hapa tanzania itapendeza pia
Nahitaji software ya gharama ndogo, web version kwa ajili ya kusimamia operation zote za appartment 8 sehemu tofauti na inventory kwenye garage na godown.
Pia ya transport na logistic low cost web version.
Nawasilisha
NB: ikiwa imedesigniwa hapa hapa Tanzania itapendeza pia
Gharama ndogo!? Hebu kuwa specific hiyo gharama ndogo ni kiasi gani, maana hapo ni software mbili tofauti na kama mtu ataamua kuiunganisha kuwa software moja kuna gharama
Hiyo Software uliyoielezea sio simple na usitarajie bei ndogo kwa mtu kukutengenezea. Nashauri uangalie software ambayo utakodi account na kulipia kwa mwezi