kama uko dara ningekushauri uende pale keko modern litd wanavyo sofa nzuri, au nenda kule nyerere road kuna kampuni nimesahau jina wanachongesha soafa nzuri

0713 116113 fundi makochi..nenda mpka sinza mori halafu shuka chini ukitokea mwenge kushoto.au unaweza kusave namba yake wats up uone kazi zake pia muombe akutumie picha..