Mimi ninazo sofa mbili moja ya watu watu wawili na nyingine watu watatu,pia hicho kikabati ninacho vipo katika halo nzuri sana.sijajua jinsi ya Ku pm,hata kuweka picha cjajua!Nina city Vinci nauza vya ndani vya kwangu mwenyewe,nauza il I nisafiri.so kama upo interested nicheck whatsaap number 0714908998,au 0759258748.tufanye biashara,Nina usafiri nitakuletea ulipo mm nipo karb na airport.