Habari wakuu!
Nahitaji simu yenye hali nzuri sana yenye specs hizi:
1. RAM walau kuanzia 4GB lkn ukiwa na 6GB au zaidi itafaa zaidi
2. Internal Memory walau 64GB
3. Kukaa na chaji walau masaa 6
4. Battery capacity 3600Amh na zaidi
5. Line 2, dual
6. Isiwe Teckno, itel (samahani wenye cm hizi)
7. Bajeti yangu TZS. 400,000
8. Napatikana Dar,
9. Mawasiliano Call/sms/whatsapp 0755411455