aiseeeOngeza hela nikuachie s7 edge
bei gani hii mkuuOngeza hela nikuachie s7 edge
Bei ganiOngeza hela nikuachie s7 edge
Laki saba na nusuBei gani
Laki saba na nusubei gani hii mkuu
Huna simu hiyo unazingua, hata bei yake huijui unapuyanga tuLaki saba na nusu
Weee unawazimu kwel unadhan s7 edge kama tecno nimenunua laki 9 na nusu na ndio ninayotumia sasa hivi alaf sio lazima nikuaminishe kama huna hela tuliaHuna simu hiyo unazingua, hata bei yake huijui unapuyanga tu
W3Iwe tecno budget yang ni 100k
Tecno j8 mpya, 200k itapendezaIwe tecno budget yang ni 100k