Kama unayo ya 70 fanya haraka uniletee nataka kumnunulia mtu wangu wa karibu kwa ajili ya mawasiliano.
Sifa:
* Iwe na uwezo wa kutumia wasp.
* Isiwe na tatizo la aina yeyote.
* Iwe Tecno au huawei.
* Isiwe imetumika zaidi mwaka mmoja.
Sihitaji uje pm tumalizane hapa hapa.
Nawakilisha