Yeyote anayeuza simu tuwasiliane isizidi 200,000/= na siyo zile za kichina,
wewe hela huna Instagram ya nini ? wewe una hela ya pikipiki unataka ununue gari. si utauziwa bovu jasho likutoke kwa kuwajua mafundi. cheap man buy cheap durable articles
Nna Iphone 4S used laki 4.5 kama uko tayari ni-pm
Akiri zako cy nzuri,umeambiwa isizidi 200000
Yeyote anayeuza simu tuwasiliane isizidi 200,000/= na siyo zile za kichina,