Nahitaji simu ila offer yangu ni sh100,000/=

Nahitaji simu ila offer yangu ni sh100,000/=

Lady niece

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
953
Reaction score
414
Ninahitaji aina ya
1 LG SMARTPHONE
2 HTC MYTOUCH 4G SLIDE HD WIFI GPS 8MP 4GB ANDROID
3. IPHONE
ISIWE USED BALI IWE BRAND NEW JAMANI NINA SHIDA SANA NAYO NAWEZA NUNUA WAPI
AU NIITAIPATAJE MMOJAWAP O KATI YA HIZO 3 NILIZOTAJA HAPO JUU
[h=1][/h]
 
...enzi hizo simu za mkononi zinaingia nchini,hiyo pesa ilikuwa inatosha kununulia line tu...
 
kwa pesa hiyo utanunua vodafone ya voda tu.vinginevyo usijisumbue bure
 
Pesa ya karanga unaitaji smartphone,tena unataja na sifa kabisa eti camera 8MP,memory 4gb
tena brand new lol.wakati hata tecno p3 hupati
 
Pesa ya karanga unaitaji smartphone,tena unataja na sifa kabisa eti camera 8MP,memory 4gb
tena brand new lol.wakati hata tecno p3 hupati

amesema hataki used!
 
Hahaha tokka nazaliwa sijapata kuona maajabu ya mwaka zaid ya hili,ongeza hela nikupe kat ya hiz cimu iphone 4s au 3gs au zaid ya hiziii
 
nina itel 1450s
but 130,000. imetumika miezi 2. google utaiona.
if interested pm
 
Motorola Smart Phone, water proof...mpya kabisa na ni original!! bei yake 150000, haipungui. Niinbox kama itakufaa!
 
Haya njoo uchukue TECNO P3 mpyaaaaaa ( imetumika kwa miezi miwili tu. Ila kwenye hiyo laki yako inabidi uonheze 10,000

google specifications zake then nitwangie hapa 0715553166 ( nipo Dar, Mikocheni )
 
Nina black berry curve 8520 kwa 90000 ni PM tufanye biashara nipo dar

Sent from my BlackBerry 85using JamiiForums
 
Kuna Huawei U 8851 Ideos Android 2.2 Camera MP 2 IPO ARUSHA

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Toa laki na kumi nikupe samsung galaxy pocket ipo rooted tayari imekewa custom rom ya (android 4.2 jelly)
 
Haya njoo uchukue TECNO P3 mpyaaaaaa ( imetumika kwa miezi miwili tu. Ila kwenye hiyo laki yako inabidi uonheze 10,000

google specifications zake then nitwangie hapa 0715553166 ( nipo Dar, Mikocheni )
mkuu hiyo P5 ikiwa dukani inapatikana kwa shs ngapi?

vp na huawei bird bei yake?
 
Back
Top Bottom