Nahitaji simu, bajeti 250K

Nahitaji simu, bajeti 250K

BMB5

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
196
Reaction score
8
Iwe clear condition isiwe na tatizo kama ni used, iwe na uwezo mkubwa wa battery at least 2500mah, isiwe Samsung au Chinese phone nicheki 0688206680

NB: Dau linaweza panda kidogo kama simu itakuwa nzuri zaid
i
 
Wadau mzigo unahitajika fasta
 
Iwe clear condition isiwe na tatizo kama ni used, iwe na uwezo mkubwa wa battery at least 2500mah, isiwe Samsung au Chinese phone nicheki 0688206680

NB: Dau linaweza panda kidogo kama simu itakuwa nzuri zaid
i

Ninayo aina ya gowin kwa bei hiyo
 
Nina Sony experia moja murua saana. Hii hapa. Ntakupa kwa bei hiyo kwa lolote njoo pm.
 
Attachments

  • 1433278600856.jpg
    1433278600856.jpg
    65.2 KB · Views: 149
Iwe clear condition isiwe na tatizo kama ni used, iwe na uwezo mkubwa wa battery at least 2500mah, isiwe Samsung au Chinese phone nicheki 0688206680

NB: Dau linaweza panda kidogo kama simu itakuwa nzuri zaid
i

sony experia vp kaka?
 
Iwe clear condition isiwe na tatizo kama ni used, iwe na uwezo mkubwa wa battery at least 2500mah, isiwe Samsung au Chinese phone nicheki 0688206680

NB: Dau linaweza panda kidogo kama simu itakuwa nzuri zaid
i

Ongeza 100,000 nikupe blackberry Z10...
 
Iwe clear condition isiwe na tatizo kama ni used, iwe na uwezo mkubwa wa battery at least 2500mah, isiwe Samsung au Chinese phone nicheki 0688206680

NB: Dau linaweza panda kidogo kama simu itakuwa nzuri zaid
i

pia Experia M2 ipo mkuu njoo inbox
 
Back
Top Bottom