K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,375 Reaction score 4,987 Jan 26, 2013 #1 Habari ndudu zangu? Nataka kununua simu aina ya Nokia E72 iliyotumika (used). Hivyo, basi ikiwa kama kuna mtu yupo tayari aniuzie, au kama kuna mtu anafahamu zinapouzwa anijulishe. Tuwasiliane kupitia PM. Naomba ushirikiano wako.
Habari ndudu zangu? Nataka kununua simu aina ya Nokia E72 iliyotumika (used). Hivyo, basi ikiwa kama kuna mtu yupo tayari aniuzie, au kama kuna mtu anafahamu zinapouzwa anijulishe. Tuwasiliane kupitia PM. Naomba ushirikiano wako.