Habari wakuu..
naombeni msaada kwa mwenye taarifa ya uwepo wa mashamba ya kukodi mkoani Morogoro.. nahitaji sehemu ambayo:-
1} iko karibu na chanzo cha maji na
2} pia iwe na sifa ya kuweza kuotesha/kustawisha maharage ama mahindi...
3} bei ya kukodi kwa kila ekari ni shilingi ngapi....
Note: kama unafahamu naomba uweke taarifa wazi hapa ili kama kuna mtu anahitaji naye apate taarifa.
natanguliza shukrani wakuu.