Nahitaji shamba la kukodi Kiteto au Kibaigwa

Hmwaki

New Member
Joined
Feb 14, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Habari ndg zangu Mimi nahitaji shamba la mahindi la kukodi ekali 200 kwa msimu wa 2019/2020 maeneo ya kiteto au kibaigwa kwa mwenye taarifa nzuri anicheki kwa namba 0765332398
 
Angalia.. Makanjanja wapo wa kutosha hukuu

Back
Top Bottom