Nahitaji shamba kuanzia eka 150

Nahitaji shamba kuanzia eka 150

abcde

Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
38
Reaction score
5
Habari wadau!
Nahitaji shamba kuanzia eka 150-500 Arusha, Manyara au Mbeya.
Asante
 
Nina heka 200 tukuyu kila heka 40elfu kama upo fresh ni pm....
 
Mki nauza misukule, kila msukule buku jero, itakusaidia sana kwenye kilimo
Mkuu bujibuji, leo umeamua nini? au ndo yale mambo ya ..........kijani na roba, unavunja mbavu, halafu ni hiyo avator unaitendea haki maana nimjuavyo huyo jamaa kwenye comedy
 
Ukitaka mikoa mingine ya rufiji kama wilaya ya Mkuranga just ni PM ninazo eka zaidi ya 500
 
Nina ekari 100 kijiji cha kidomole bagamoyo karibu na itakapojengwa bandari mpya kubwa kuliko zote bongo. Laki 5 kwa kila ekari.

kidomole-3.png


Nipigie au nitumie text katika 0769142586.

Pia ninayo mengine kama ekari 1000 hivi maeneo ya msanga mbele kidogo ya chanika milioni 1 na laki 2 kwa ekari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom